Nenda kwa yaliyomo

Pete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:36, 24 Julai 2018 na YiFeiBot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q3936008; 1 langlinks remaining)
Pete dukani

Pete ni mapambo yanayovaliwa na watu kwenye vidole ya mkono. Kwa kawaida hutengenezwa kwa metali.

Pete zenye thamani zaidi hutengenezwa kwa metali adili kama vile dhahabu au fedha. Mara nyingi hupambwa na kito.

Pete za arusi zilikuwa desturi ya kikristo ya Ulaya lakini zimesambaa kote duniani.