Nenda kwa yaliyomo

Kipeto hudumizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 05:47, 25 Agosti 2020 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Faili:Windows XP SP2 French CD.jpg
Kipeto hudumizi cha Windows XP

Katika utarakilishi, kipeto hudumizi (kwa Kiingereza: Service Pack) ni mkusanyo wa visasisho, marekebisho na maendeleo ya programu wa kupelekwa katika kifurushi data.

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.