Baba Levo
Mandhari
Baba Levo | |
---|---|
Faili:Baba Levo.jpg | |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | Juni 5 1986 |
Asili yake | Kigoma Tanzania |
Kazi yake | Mwimbaji |
Aina ya sauti | "Tenor" ya tatu |
Miaka ya kazi | 2010 - Mpaka sasa |
Studio | BMG |
Revokatus Kipando (maarufu kwa jina la kisanii kama Baba Levo; majina mengine ya kisanii ni Obd; alizaliwa Kigoma, 06 Juni 1986) ni msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania.