Nenda kwa yaliyomo

Kidhaiso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 15:46, 16 Januari 2021 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kidhaiso ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wadhaiso. Inafanana sana na Kisegeju. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kidhaiso imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidhaiso iko katika kundi la E50.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Nurse, Derek. 1982. Segeju and Daisu: a case study of evidence from oral tradition and comparative linguistics. History in Africa, 9, uk. 175-208.
  • Nurse, Derek. 2000. Inheritance, contact and change in two East African languages. (Sprachkontakt in Afrika, Bd 4.) Köln: Rüdiger Köppe Verlag. Kurasa 277. [ISBN 3-89645-270-3]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhaiso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.