Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Muhoroni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eneo bunge la Muhoroni ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kisumu, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Historia

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988 wakati Jimbo kubwa la Nyando lilipotawanywa.

Wabunge

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Matthew Onyango Midika KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Justus Aloo Ogeka Ford-K
1997 William Odongo Omamo NDP
2002 Patrick Ayiecho Olweny NARC
2007 Patrick Ayiecho Olweny ODM

Wodi

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Fort Ternan 1,535 Muhoroni (Mji)
God Nyithindo 3,829 Muhoroni (Mji)
Koru 3,872 Muhoroni (Mji)
Muhoroni Town 3,325 Muhoroni (Mji)
Owaga 982 Muhoroni (Mji)
Ombeyi South 3,200 Ahero (Mji)
Chemelil 6,696 Nyando county
Miwani,Kenya 2,789 Nyando county
North East Kano 6,918 Nyando County
Nyang'oma 6,149 Nyando county
Ombeyi North 3,968 Nyando county
Tamu 4,774 Nyando county
Jumla 48,037
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

Marejeo