Baba Levo
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.
Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu
Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.
Baba Levo | |
---|---|
Amezaliwa | Juni 5 1986 |
Asili yake | Kigoma Tanzania |
Kazi yake | Mwimbaji ,Mwanasiasa, ACT WAZALENDO |
Aina ya sauti | "Tenor" ya tatu |
Miaka ya kazi | 2003 - Mpaka sasa |
Studio | BMG Record Label |
Revokatus Kipando (maarufu kwa jina la kisanii kama Baba Levo; majina mengine ya kisanii ni Obd; alizaliwa Kigoma, 06 Juni 1986) ni msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania. Ni Mwanasiasa,mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania.