Nenda kwa yaliyomo

Hoja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 10:31, 15 Machi 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Hoja''' (kutoka neno la Kiarabu) ni maelezo yenye misingi na vigezo yanayotolewa kuthibitisha ukweli au uhalali wa jambo na pengine kupinga maelezo ya awali. Yenyewe inaweza kuhitaji jawabu, hasa katika mkutano, kama vile bunge, kamati n.k. {{mbegu-utamaduni}} Jamii:Falsafa Jamii:Sheria')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Hoja (kutoka neno la Kiarabu) ni maelezo yenye misingi na vigezo yanayotolewa kuthibitisha ukweli au uhalali wa jambo na pengine kupinga maelezo ya awali.

Yenyewe inaweza kuhitaji jawabu, hasa katika mkutano, kama vile bunge, kamati n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hoja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.