Nenda kwa yaliyomo

Jiwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:14, 4 Machi 2024 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya 94.230.10.50 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Mawe.
Bustani ndogo iliyotengenezwa kwa mawe.

Jiwe (wingi: mawe) ni kitu chochote kigumu kitokanacho ardhini, kama vipande vidogovidogo ambavyo vinatokana na kuvunjika au kumeguka kwa miamba. Huundwa na madini mbalimbali yanapochanganyika kwa mvua na joto kali hukausha maji au hata pia mkandamizo.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jiwe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.