Nenda kwa yaliyomo

Baba Levo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baba Levo
Amezaliwa Juni 5 1986 (1986-06-05) (umri 38)
Asili yake Kigoma Tanzania
Kazi yake Mwimbaji, mwanasiasa wa ACT Wazalendo na pia mtangazaji wa radio.
Aina ya sauti "Tenor" ya tatu
Miaka ya kazi 2003 - Mpaka sasa

Revokatus chipando (maarufu kwa jina la kisanii kama Baba Levo; jina lingine la kisanii ni Obd; alizaliwa Kigoma, 6 Juni 1986) ni mwanasiasa, mwimbaji, mtunzi wa muziki wa Kitanzania na msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania[1][2].


Marejeo

  1. "Baraza la Sanaa la Taifa". BASATA.
  2. "The National Arts Council (BASATA)". Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-07. Iliwekwa mnamo 2017-07-04.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baba Levo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.