Nenda kwa yaliyomo

Bata-shimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:27, 15 Mei 2007 na ChriKo (majadiliano | michango) (Ukurasa mpya)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Bata-shimo
Bata mkufu-mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Anseriformes (Ndege kama bata)
Familia: Anatidae (Ndege walio na mnasaba na bata)
Jenasi: Alopochen Stejneger, 1885

Centrornis
Chloephaga Eyton, 1838
Cyanochen Bonaparte, 1856
Hymenolaimus Gray, 1843
Malacorhynchus Swainson, 1831
Merganetta Gould, 1842
Neochen Oberholser, 1918
Pachyanas
Salvadorina Rothschild & Hartert, 1894
Sarkidiornis Eyton, 1838
Tachyeres Owen, 1875
Tadorna Boie, 1822

Mabata-shimo ni ndege wa maji wa familia ndogo Tadorninae ndani ya familia Anatidae. Mabata hawa ni katikati ya mabata wachovya na mabata bukini kwa ukubwa na kwa umbo. Wanaitwa mabata-shimo kwa sababu spishi nyingi hutaga mayai ndani ya shimo la mti au pango la sungura, mhanga n.k. Hula wanyamakombe, kaa, wadudu, nyungunyungu au manyasi, mimea ingine na mbegu. Wakiruka angani wanafanana zaidi na mabata bukini kuliko na mabata wachovya.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha