Nenda kwa yaliyomo

Kipenyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:09, 13 Januari 2011 na Ebrambot (majadiliano | michango) (r2.7.1) (roboti Nyongeza: ckb:تیرە)

Kipenyo ni mstari ulionyooka unaokatisha katikati ya duara ukigusana na mzingo.

Kwa lugha nyingine kipenyo ni pia umbali kati ya nukta mbili kwenye mzingo wa duara zilizopo kwenye mstari ulionyooka unaopita kwenye kitovu cha duara.

Umbali kati ya kitovu na mzingo wa duara huitwa nusukipenyo (rediasi).