Nenda kwa yaliyomo

Welisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 20:35, 1 Januari 2012 na TjBot (majadiliano | michango) (r2.5.4) (roboti Nyongeza: stq:Wales)
'Cymru
Welisi (Wales)
Bendera ya Welisi Nembo ya Welisi
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Cymru am byth (Kiwelisi)
"Welisi milele"
Wimbo wa taifa: Hen Wlad Fy Nhadau (Kiwelisi)
Nchi ya mababu yangu
Lokeshen ya Welisi
Mji mkuu Cardiff
51°29′ N 3°11′ W
Mji mkubwa nchini Mji mkuu
Lugha rasmi Kiwelisi, Kiingereza
Serikali
Malkia
Waziri Mkuu wa Ufalme
Waziri kiongozi wa Wales
Ufalme wa Kikatiba
Elizabeth II wa Uingereza
Gordon Brown
Rhodri Morgan
Muungano wa Welisi
Mfalme Gruffudd ap Llywelyn
1056
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
20,779 km² ()
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
2,958,6001 ()
2,903,085
140/km² ()
Fedha Pound sterling (GBP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
GMT (UTC0)
BST (UTC+1)
Intaneti TLD .uk2
Kodi ya simu +44

-



Ramani ya Welisi

Welisi (Kiing.: Wales; (Kiwelisi: Cymru ( matamshi ?)) ni nchi ya Ulaya kwenye kisiwa cha Britania na sehemu ya Ufalme wa Muungano.

Iko upande wa magharibi wa nchi ya Uingereza. Mji mkuu ni Cardiff (Kiwelisi: Caerdydd).

Idadi ya wakazi ni karibu milioni tatu. Lugha asilia ni Kiwelisi ambacho ni kimoja kati ya lugha za Kikelti. Leo hii kuna bado asilimia 20% za wakazi wanaotumia Kiwelisi lakini wengine wamezoea Kiingereza.

Welisi ilivamiwa na Uingereza mwaka wa 1284 na kuunganishwa kama sehemu kamili ya Ufalme wa Uingereza 1536. Baada ya Ufalme wa Uingereza kuungana na Uskoti na Eire Welisi ilitambuliwa kama sehemu asilia ya Ufalme wa Muungano.

Mwaka wa 1998 Welisi ilipewa bunge lake la pekee linalosimamia matumizi ya makisio yake na kuchagua serikali ya eneo.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Welisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA