Nenda kwa yaliyomo

Papa Adrian III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:47, 24 Novemba 2007 na SieBot (majadiliano | michango) (robot Adding: bg, ca, cs, de, es, fi, fr, gl, hu, id, it, jv, ko, la, nl, no, pl, pt, ru, sv, th, uk, zh)
Papa Adrian III

Papa Adrian III alikuwa papa kuanzia 17 Mei, 884 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 885. Alimfuata Papa Marinus I. Alitangazwa kuwa mtakatifu mwaka wa 1891, na sikukuu yake ni 8 Julai.