Nenda kwa yaliyomo

Alfayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:49, 1 Juni 2015 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Alfayo''' ni jina la mwanamume linalotajwa katika Agano Jipya kama baba wa wawili kati ya Mitume wa Yesu, yaani: *Mtume Mathayo<ref...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Alfayo ni jina la mwanamume linalotajwa katika Agano Jipya kama baba wa wawili kati ya Mitume wa Yesu, yaani:

Hakuna taarifa yoyote kwamba hao walikuwa ndugu, hivyo inawezekana wazazi wao walikuwa tofauti ila wenye jina moja.

Wengine wanasema baba Yakobo ndiye Kleopa, mume wa Maria (mama) wa Yakobo.

  1. Mk 2:14
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfayo kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.