Liturgia
Mandhari
Liturgia (pia: liturujia na liturugia; kutoka Kigiriki λειτουργια leiturgia yaani huduma kwa umati wa watu) ni utaratibu wa ibada hasa katika Kanisa la Ukristo.
Wakati mwingine neno hili linatumika pia kwa muundo au utaratibu wa sala katika dini mbalimbali.
Kwa kawaida liturgia inamaanisha utaratibu maalumu unaoweka mpangilio wa sala, nyimbo, masomo na sherehe nyingine wakati wa ibada.
Ndani ya Ukristo kuna taratibu mbalimbali ambazo matawi yake makuu ni:
- liturgia ya Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki
- liturgia ya Wakatoliki wanaofuata mapokeo ya Roma
- liturgia ya madhehebu ya Uprotestanti wa asili (Walutheri, Waanglikana n.k.), tofauti na ubunifu wa yale ya Wapentekoste n.k.
Marejeo
- Baldovin, John F., SJ (2008) Reforming the Liturgy: a Response to the Critics. The Liturgical Press
- Bowker, John, ed. (1997) Oxford Dictionary of World Religions. Oxford University Press. ISBN 0-19-213965-7.
- Bugnini, Annibale, (1990) The Reform of the Liturgy 1948–1975. The Liturgical Press
- Dix, Dom Gregory (1945) The Shape of the Liturgy
- Donghi, Antonio, (2009) Words and Gestures in the Liturgy. The Liturgical Press
- Johnson, Lawrence J., (2009) Worship in the Early Church: an Anthology of Historical Sources. The Liturgical Press
- Jones, Cheslyn, Geoffrey Wainwright, and Edward Yarnold, eds. (1978) The Study of Liturgy. London: SPCK.
- Marini, Piero, (2007) A Challenging Reform: Realizing the Vision of the Liturgical Renewal. The Liturgical Press
- Scotland, N. A. D. (1989). Eucharistic Consecration in the First Four Centuries and Its Implications for Liturgical Reform, in series, Latimer Studies, 31. Latimer House. ISBN 0-946307-30-X
- "What Do Quakers Believe?". Quaker Information Center, Philadelphia, PA, 2004.
Viungo vya nje
- Catholic Encyclopedia article
- Orthodox Tradition and the Liturgy
- Jewish Encyclopedia: Liturgy
- Contemporary Christian Liturgy Website History, theory, practice
- The Indult Tridentine Rite of Mass
- Work of the People
- Yejeonhak Baeumteo: Online Community for Liturgical Resources (Korean)
- Dictionary of Catholic Liturgy
- Liturgie-Kontor "Maria Magdalena" (Texte zu Gottesdiensten im Kirchenjahr)
- 15th century liturgy for the deceased, written in Gothic Textualis script, Center for Digital Initiatives, University of Vermont Libraries
- Eastern Orthodox Christian Liturgy Website Liturgy
- A Brief Exposition of the Divine Service
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Liturgia kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |