Martin Israel
Mandhari
Martin Spencer Israel (30 Aprili 1927 – 23 Oktoba 2007) alikuwa daktari wa magonjwa (pathologist) kutoka Uingereza, kasisi wa Ushirika wa Anglikana, mwelekezaji wa kiroho, na mwandishi wa vitabu vingi kuhusu maisha na mafundisho ya Kikristo.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martin Israel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |