Nenda kwa yaliyomo

Dennis Brown

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dennis Brown akitumbuiza mwaka 1980

Dennis Emmanuel Brown (1 Februari 1957 – 1 Julai 1999) alikuwa mwimbaji wa reggae kutoka Jamaika. Katika kipindi cha kazi yake ndefu, kilichoanza mwishoni mwa miaka ya 1960 akiwa na umri wa miaka kumi na moja, alirekodi zaidi ya albamu 75 na alikuwa mmoja wa nyota wakubwa wa lovers rock. Bob Marley alimuelezea Brown kama mwimbaji wake kipenzi.[1][2][3][4]

  1. Dennis Brown Archived 21 Desemba 2007 at the Wayback Machine ReggaeTrain.com, accessed 3 December 2007.
  2. Roberts (2006), p. 81.
  3. Thompson, p. 44.
  4. Thompson, p. 45.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dennis Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.