Ada (lugha ya programu)
Ada | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna nyingi
inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Februari 1 1980 |
Mwanzilishi | Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: ALGOL 68, Pascal, C++ (Ada 95), Smalltalk (Ada 95), Modula-2 (Ada 95) Java (Ada 2005), Eiffel (Ada 2012)
Ilivuta: C++, Chapel, "Drago"., Eiffel, "Griffin"., Java, Nim, ParaSail, PL/SQL, PL/pgSQL, Ruby, Seed7, "SPARforte"., Sparkel, SQL/PSM, VHDL |
Mahala | CII Honeywell Bull |
Tovuti | https://www.adaic.org |
Ada ni lugha ya programu. Iliundwa na Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull na ilianzishwa tarehe 1 Februari 1980. Iliundwa ili kuumba programu na kurahisisha kujifunza lugha za programu. Leo tunatumia Ada 2012: Tucker Taft. Ilivutwa na Pascal.
Inaitwa Ada kwa heshima ya Ada Lovelace ambaye alikuwa mwanaprogramu wa kwanza.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ilianzishwa 1 Februari 1980 nchini Marekani. Lakini Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull walianza kufanya kazi kuhusu Ada mwaka 1977.
Falsafa
[hariri | hariri chanzo]Namna ya Ada ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee kama lugha za programu nyingi.
Sintaksia
[hariri | hariri chanzo]Sintaksia ya Ada ni rahisi sana. Ilivutwa na sintaksia ya Pascal, lugha ya programu nyingine.
Mifano ya Ruby
[hariri | hariri chanzo]Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
with Ada.Text_IO; use Ada.Text_IO;
procedure Jambo is
begin
Put_Line ("Jambo ulimwengu !");
end Jambo;
Programu kwa kuumba "package" juu ya Ada.
with Ada.Text_IO;
package body Example is
i : Number := Number'First;
procedure Print_and_Increment (j: in out Number) is
function Next (k: in Number) return Number is
begin
return k + 1;
end Next;
begin
Ada.Text_IO.Put_Line ( "The total is: " & Number'Image(j) );
j := Next (j);
end Print_and_Increment;
-- package initialization executed when the package is elaborated
begin
while i < Number'Last loop
Print_and_Increment (i);
end loop;
end Example;
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Booch, Grady (1987), Software Engineering with Ada, California: The Benjamin/Cummings Publishing Company, Inc., ISBN 0-8053-0604-8
- Jan Skansholm: Ada 95 From the Beginning, Addison-Wesley, ISBN 0-201-40376-5
- Geoff Gilpin: Ada: A Guided Tour and Tutorial, Prentice hall, ISBN 978-0-13-004045-9
- John Barnes: Programming in Ada 2005, Addison-Wesley, 2006, ISBN 0-321-34078-7
- John Barnes: Programming in Ada plus Language Reference Manual, Addison-Wesley, ISBN 0-201-56539-0
- John Barnes: Programming in Ada 95, Addison-Wesley, ISBN 0-201-34293-6
- John Barnes: High Integrity Ada: The SPARK Approach, Addison-Wesley, 1997, ISBN 0-201-17517-7