HIStory: Past, Present and Future, Book I
HIStory: Past, Present and Future, Book I (kikawaida hufupishwa HIStory) ni albamu mbili za Michael Jackson, zilizotolewa mnamo tar. 20 Juni 1995, na ni albamu ya tisa ya Jackson. CD ya kwanza, iliitwa "HIStory Begins" ambayo imekusanya vibao vyake vikali vya miaka kumi na tano iliyopita, wakati ya pili, iliitwa "HIStory Continues" imekuja na nyimbo mpya, moja wapo ni "Come Together", ambayo ilirekodiwa mwaka wa 1987.
HIStory imetajwa kuwa ni toleo la albamu-mbili-mbili lililoza vizuri kuliko zote, ikiwa na hesabu ya mauzo ya nakala milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima (na milioni 40 kwa hesabu ya moja-moja). Albamu pia imeshinda tuzo moja ya Grammy kwa ajili ya video ya — "Scream." CD ya kwanza ya vibao vyake vikali ilitolewa mnamo mwaka wa 2001 ikiwa kama CD moja na ilikwenda kwa jina la Greatest Hits: HIStory, Vol. 1.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Chati zake na matunukio
[hariri | hariri chanzo]Chati[2] | Nafasi Iliyoshika |
Matunukio | Mauzo/Nchi za nje |
---|---|---|---|
Argentina | Platinum[3] | 200,000[3] | |
Australia | 1 | 7× platinum[4] | 490,000[5] |
Austria | 2 | 2× platinum[6] | 80,000[7] |
Belgium | 1 | ||
Canada | 5× platinum[8] | 500,000[9] | |
Europe | 6× platinum[10] | 6 million[11] | |
Finland | 3 | Platinum[12] | 61,352[12] |
France | 1 | Diamond[13] | 1 million[13] |
Germany[14] | 1 | 3× platinum[15] | 1.5 million[16] |
Netherlands | 1 | 3× platinum[17] | 240,000[7] |
New Zealand | 1 | 10× platinum | 150,000 |
Norway | 1 | Platinum[18] | 40,000[7] |
Sweden | 3 | Platinum[19] | 60,000[7] |
Switzerland | 1 | 3× platinum[20] | 150,000[20] |
United Kingdom[21] | 1 | 4× platinum | 1.2 million |
United States[22] | 1 | 7× platinum[23] | 3.5 million |
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]HIStory Begins (Disc 1)
[hariri | hariri chanzo]Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;
- Billie Jean - 4:54
- The Way You Make Me Feel - 4:57
- Black or White (Jackson/Bill Bottrell) - 4:15
- Rock with You (Rod Temperton) - 3:40
- She's out of My Life (Tom Bahler) - 3:38
- Bad - 4:07
- I Just Can't Stop Loving You - 4:12
- Man in the Mirror (Glen Ballard/Siedah Garrett) - 5:19
- Thriller (Temperton) - 5:57
- Beat It - 4:18
- The Girl is Mine (akimsh. Paul McCartney) - 3:41
- Remember the Time (Jackson/Teddy Riley/Bernard Belle) - 4:00
- Don't Stop 'til You Get Enough - 6:02
- Wanna Be Startin' Somethin' - 6:02
- Heal the World - 6:24
HIStory Continues (Disc 2)
[hariri | hariri chanzo]Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;
- Scream (kaimba na Janet Jackson) (Harris/Lewis/Jackson/Jackson/Giancarlo Dittamo) - 4:38
- They Don't Care About Us - 4:44
- Stranger in Moscow - 5:44
- This Time Around (akimsh. The Notorious B.I.G.) (René Moore/Dallas Austin/Bruce Swedien/Jackson/Wallace) - 4:20
- Earth Song - 6:46
- D.S. (akimsh. Slash) - 4:49
- Money - 4:41
- Come Together (Lennon/McCartney) - 4:02
- You Are Not Alone (R. Kelly) - 5:45
- Childhood (Theme from "Free Willy 2") - 4:28
- Tabloid Junkie (Harris/Lewis/Jackson) - 4:32
- 2 Bad (feat. Shaquille O'Neal) (Harris/Lewis/Jackson/O'Neal) - 4:49
- HIStory (Harris/Lewis/Jackson) - 6:37
- Little Susie - 6:13
- Smile (Charlie Chaplin) - 4:56
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "HIStory: Past, Present and Future, Book I". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
- ↑ Hit Parade (1995). "European charts". Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ 3.0 3.1 Cámara Argentina de Productores de Fonogramas y Videogramas (1995). "Argentinian certification". capif.org.ar. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-28. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ Australian Recording Industry Association (2004). "ARIA Charts — Accreditations". aria.com.au. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ Australian Recording Industry Association. "Criteria". aria.com.au. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry — Austria (19 Desemba 1996). "Austrian certification (search)". ifpi.at. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ 7.0 7.1 7.2 7.3 Recording Industry Association of Japan (2005). "Standard for Certifying Awards of Countries" (PDF). riaj.or.jp. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ Canadian Recording Industry Association (30 Novemba 1995). "Canadian certification". cria.ca. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-08-11. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ Canadian Recording Industry Association. "Criteria". cria.ca. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-11-24. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ International Federation of the Phonographic Industry (1996). "IFPI Platinum Europe Awards". ifpi.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-03-27. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry. "Criteria". ifpi.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-01-20. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ 12.0 12.1 International Federation of the Phonographic Industry — Finland (1997). "Finnish certification". ifpi.fi. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-25. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ 13.0 13.1 Syndicat national de l'édition phonographique (1995). "French certification". chartsinfrance.net. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ "German Albums Chart (Search)". charts-surfer.de. 1995. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry — Germany (1997). "German certification". musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry (1995). "Criteria" (PDF). musikindustrie.de. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ Nederlandse Vereniging van Producenten en Importeurs van beeld-en geluidsdragers (1996). "Dutch certification (search)". nvpi.nl. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-02-16. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry — Norway (1995). "Norwegian certification (search)". ifpi.no. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-18. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ International Federation of the Phonographic Industry — Sweden (1995). "Swedish certification" (PDF). ifpi.se. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ 20.0 20.1 HitParade (1996). "Swiss certification". Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
- ↑ Every Hit (1995). "UK Albums Chart". Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
{{cite web}}
: Unknown parameter|month=
ignored (help) - ↑ Allmusic (1995). "Billboard charts". Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
{{cite web}}
:|author=
has generic name (help) - ↑ Recording Industry Association of America (12 Oktoba 1999). "U.S. certification". riaa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2008-11-25.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu HIStory: Past, Present and Future, Book I kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- Pages using the JsonConfig extension
- CS1 errors: unsupported parameter
- CS1 errors: generic name
- Mbegu za muziki
- Albamu za 1995
- Albamu zilizotayarishwa na Bill Bottrell
- Albamu zilizotayarishwa na Dallas Austin
- Albamu zilizotayarishwa na David Foster
- Albamu zilizotayarishwa na Jimmy Jam na Terry Lewis
- Albamu zilizotayarishwa na R. Kelly
- Albamu zilizotayarishwa na Teddy Riley
- Albamu za Michael Jackson