Jimmy Carter
Mandhari
Jimmy Carter | |
Muda wa Utawala January 20, 1977 – January 20, 1981 | |
Makamu wa Rais | Walter Mondale |
mtangulizi | Gerald Ford |
aliyemfuata | Ronald Reagan |
tarehe ya kuzaliwa | 1 Oktoba 1924 |
tarehe ya kufa | 29 Desemba 2024 |
chama | Democratic |
ndoa | Rosalynn Smith (m. 1946–present) |
makazi | Plains, Georgia, Marekani |
dini | Ukristo |
signature |
James Earl Carter, Jr (1 Oktoba 1924 – 29 Desemba 2024) alikuwa Rais wa 39 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1977 hadi 1981. Kaimu Rais wake alikuwa Walter Mondale. Akiwa mwanachama wa chama cha Democratic, alikuwa rais aliyeishi muda mrefu zaidi katika historia ya Marekani, na wa kwanza kufikia umri wa miaka 100. Carter alizaliwa na kukulia katika Plains, Georgia. Alihitimu kutoka Jeshi la Marekani, Naval Academy mwaka 1946. Carter alirudi nyumbani baada ya utumishi wake wa kijeshi na kuanzisha tena biashara ya familia yake ya kukuza karanga. Alipinga ubaguzi wa rangi, aliunga mkono kuongezeka kwa harakati za haki za kiraia kama mwanasiasa wa Georgia.
Tazamia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Carter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |