Nenda kwa yaliyomo

Kigezo:Infobox Album

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kigezo:Infobox album)


Nyaraka za kigezo[mtazamo] [hariri] [historia] [safisha]
Watu Kibao
Watu Kibao Cover
Studio album ya Wateule
Imetolewa 17 Mei, 2008
Imerekodiwa 20 Aprili, 2008
Aina Studio
Urefu 65
Lebo Mwamba Records
Mtayarishaji Miikka Mwamba Kari
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Wateule
Mikosi Watu Kibao Tumerudi tena


Hili ni sanduku la habari la makala za albamu zinazotumia kigezo cha {{Infobox Album}}. Sanduku lililopo upande wa kulia ni la mfano tu. Unaweza kung'oli katika maandishi yaliyoandikwa "hariri ukurasa huu" na ukopi-na-kupesti zile uga na uweke katika makala tofauti, na uweke maelezo haya katika kila makala ya albamu utakayotaka kuandika.

Kodi za sanduku zinatakiwa ziwekwe juu kabisa ya makala. Kwa mfano wa matumizi ya sanduku hili, tafadhali angalia hapa.

Makala zilizonyingi zitahitajika kutumua uga zifuatazo tu (kwa kutazama orodha iliyokamili ya uga tazama matumizi ya juu). Usiondoe uga yeyyote kutoka kwenye orodha hii ikiwa kinachojazwa hakijulikani; kwa maana hiyo vijazio viachwe vitupu ikiwa hakuna cha kujaza. Tafadhali jua kwamza hayo maandishi yaliyoandikwa hapo yanafuata jinsi yalivyoandikwa sandukuni, hivyo ukikosea tu, basi haitoonyesha chochote!

{{Infobox Album <!-- See Wikipedia:WikiProject_Albums -->
| Jina             = 
| Type             = 
| Msanii           = 
| Cover            = 
| Imetolewa        = 
| Imerekodiwa      = 
| Aina             = 
| Urefu            = 
| Studio           = 
| Mtayarishaji     = 
| Review           = 
| Albamu iliyopita = 
| Albamu ya sasa   = 
| Albamu ijayo     = 
| Misc =
}}

Matumizi

[hariri chanzo]

Hapa unataja jina la albamu kwa kutumia maandishi tu na sio picha wala logo - na ukifanya, basi maandishi yenyewe yataonekana katika mahala uhusika.

Type au Aina

[hariri chanzo]

Uga ya Type inataja namna ya albamu jinsi ilivyo kwa ujumla. Ingiza kodi kutoka kwenye safu ifuatayo. Type au aina ya albamu husika itatokea ikiwa na rangi husika na namna ya albamu yenyewe ikiwa sambamba kabisa na kiungo kuelekea kwenye makala ya albamu. Ikiwa type haijulikani, acha uga hiyo wazi bila kufanya chochote.

Kodi Mwonekano
studio
Studio album by artist
demo
Demo album by artist
ep
EP by artist
live
Live album by artist
greatest
Greatest hits by artist
remix
Remix album by artist
box
Box set by artist
compilation
Compilation album by artist
cover
Cover album by artist
tribute
Tribute album by artist
soundtrack
Soundtrack by artist
television
Television theme by artist
film
Film score by artist
video
Video by artist
by artist

Cover/Kava

[hariri chanzo]

Cover au Kava/Kasha ni kava rasmi la albamu kamili ya msanii (na ukiwa nalo, basi unatakiwa uliweke katika mahala pa ) Cover. Kava la albamu linaweza kuskaniwa, au kupakuliwa kutoka kwenye tovuti zingine kama vile All Music Guide au Amazon.com. Tambua kwamba iwe unaweza kuiskani wewe mwenyewe au kukopi kutoka kwenye tovuti zingine, ukizipakiza kwenye Wikipedia, basi utatakiwa ufuate maelekezo ya fair use. Ikiwa huwezi kupata kava au picha ya albamu, basi acha tu kama kulivyo.

  • Pakiza nakala ya kava ya albamu (chini ya leseni ya fair use). Picha inatakiwa iwe na ukubwa usiopungua wala kuzidi 200px kama jinsi inavyoonekana kwenye ukubwa uliopo. Ingawa, inatakiwa iwe chini ya ukubwa wa 300px ilikulidhisha matakwa ya leseni ya fair use.

Imetoka

[hariri chanzo]

Hapa unataja tarehe ya albamu lini imetoka. Ni lazima tarehe ya albamu iwe ya uhakika.

Imerekodiwa

[hariri chanzo]

Maelezo juu ya wapi na lini alabamu imerekodiwa ni lazima yawekwe.

Hapa unataja aina ya muziki katika albamu. Kila aina moja itatakiwa uweke koma kabla ya aina nyingine. Kwa mfano, hip hop, pop, rock, R&B, na kadhalika. Kuhusu viungo kwa aina ya muziki siyo lazima. Lakini pia ni bora zaidi uweka!

Hapa unataja urefu wa albamu kwa kujumlsha nyimbo zote zilizopo kwenye albamu. Kwa 74:00.

Hapa unataja studio iliyorekodi nyimbo za kwenye albamu. Ikiwa studio zaidi ya moja, basi kila baada ya kutaja studio - utatakiwa uweke koma kabla ya kuandika nyingine.

Mtayarishaji

[hariri chanzo]

Hapa unataja jina la mtayarishaji wa albamu hii na jina la mtayarishaji linatakiwa liwekewe kiungo kinachoelekea katika makala husika na jina la mtayarishaji. Ikiwa kuna zaidi ya mtayarishaji mmoja, basi majina yatatofautishwa kwa kutumia alama za koma.

Review au ripoti ya albamu katika vyombo yva habari

[hariri chanzo]

Ripoti ya albamu au "Professional reviews" inaweza kuwekwa hapa kwa zile ripoti zilizoandikwa na waandishi habari wa taalamu katika muziki au ma-DJ, au ukiikuta mtandaoni au kwenye kijitabu cha kuchaoushwa ulichonacho, au maelezo mengineyo yanayohusiana na masuala ya muziki (kasoro blogu za watu binafsi tu).

Advanced usage

[hariri chanzo]
Bad
Bad Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 31 Agosti, 1987
Imerekodiwa Novemba 1986Julai 1987 (kasoro Another Part of Me: ilirekodiwa 1985)
Aina Soul, R&B, Dansi-pop, Urban, Pop rock[1]
Urefu 48:16
Lebo Epic
EK-40600
Mtayarishaji Michael Jackson,
Quincy Jones[2]
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Thriller
(1982)
Bad
(1987)
Dangerous
(1991)
Single za kutoka katika albamu ya Bad
  1. "I Just Can't Stop Loving You"
    Imetolewa: 20 Julai, 1987
  2. "Bad"
    Imetolewa: 7 Septemba, 1987
  3. "The Way You Make Me Feel"
    Imetolewa: 9 Novemba, 1987
  4. "Man in the Mirror"
    Imetolewa: 9 Januari, 1988
  5. "Dirty Diana"
    Imetolewa: 18 Aprili, 1988
  6. "Another Part of Me"
    Imetolewa: 11 Julai, 1988
  7. "Smooth Criminal"
    Imetolewa: 24 Oktoba, 1988
  8. "Leave Me Alone"
    Imetolewa: 13 Februari, 1989
  9. "Liberian Girl"
    Imetolewa: 3 Julai, 1989


Misc

Hapa ukitaka kutumia masanduku mengineyo ambayo hayapo katika safu hii, lakini yanahusu katika makala fulani (hasa makala za albamu katika kutaja single za katika albamu). Kigezo cha ziada kinaweza kuingizwa kwenye uga ya Misc'. Vigezo hivyo vya ziada ni pamoja na {{Extra album cover 2}}, {{Extra chronology 2}}, {{Singles}} na {{Audiosample}}. Ikiwa unatumia vigezo hivi, basi usisahau kuweka mabano ya mwisho ya kufungia kigezo husika ili kisiingiliane na kingine - hata kutoonyesha usipofanya hivyo. Mabano hayo ni: ' kama jinsi inavyokuwa katika kila kigezo.

Kigezo:Extra chronology 2
[hariri chanzo]

Hii inataja mwendelezo wa ziada katika kutawanya albamu kadha wa kadha kwa mfululizo, yaani, kwa kufuatana-fuatana.

{{Infobox Album 
...
| Misc        = {{Extra chronology 2
  | Msanii      = 
  | Type        = 
  | Albamu iliyopita = 
  | Albamu ya sasa  = 
  | Albamu ijayo  = 
  }}
}}
Template:Extra album cover 2
[hariri chanzo]

Ikiwa albamu imetolewa katika makava kadhaa tofauti, basi unaweza kuongezea na hii kwa kutumia kigezo hiki.

{{Infobox Album 
...
| Misc        = {{Extra album cover 2
  | Maelezo ya juu  = 
  | Type           = 
  | Cover          = 
  | Maelezo ya chini  = 
  }}
}}

Uga ya Maelezo ya juu inakuruhusu wewe kuweka kichwa cha habari husika na kava la pili la albamu na Maelezo ya chini ni mahala pa kutajia kava hilo lilitolewa wapi na kwa dhumunoi gani - kwani huenda likawa lilitolewa kwa ajili ya nchi fulani-fulani.

Kigezo:Singles
[hariri chanzo]

Kigezo cha {{Singles}} huenda kikawa kinatumika kama matumizi mengine ya kuongezea habari za muziki (hasa single za katika albamu). Hapa unatakiwa uziweke kwa mfululizo.

Unaweza ukaorodhesha hadi kiasi cha single 12 kwa albamu. Sanduku hili pia linatakiwa liwekwe kwenye uga ya "Misc" kama jinsi inavyoonekana kwa chini, tumia herufi za katika uga haopo chini. Uga yeyote isiyotumika, basi iachwe kama ilivyo. Maelezo zaidi ya namna ya kutumia kigezo hiki yanaweza kupatikana katika ukurasa wake wa kigeoz hiki.

{{Infobox Album 
...
| Misc        = {{Singles
  | Jina           = 
  | Type           = 
  | Single 1       = 
  | Single 1 tarehe  = 
  | Single 2       = 
  | Single 2 tarehe  = 
  | Single 3       = 
  | Single 3 tarehe  = 
  | Single 4       = 
  | Single 4 tarehe  = 
  }}
}}
Jina
Jina la albamu.
Type
Type au aina ya albamu (imeelezwa kule juu katika sehemu ya "Type/Aina").
Single #
Jina la single. Hapa lazima uweke kiungo cha makala ya wiki, kama kinapatikana.
Single # tarehe
Terehe ya kutolewa kwa single. Ingiziwe viungo vya tarehe za muundo wa wiki.
  1. "Bad". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2009-04-27.
  2. "Album Credits for Bad". Artists Direct. Iliwekwa mnamo February 3 2006. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help); Unknown parameter |dateformat= ignored (help)