Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Niger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Niger State)
Jimbo la Niger
Jina la kiutani: The Power State
Mahali pa jimbo nchini
Eneo la jimbo la Niger nchini Nigeria
Takwimu
Gavana
(Orodha)
Mu'azu Babangida Aliyu (PDP)
Tarehe ya kuanzishwa 3 Februari 1976
Mji mkuu Minna
Eneo 76,363 km ²
Lina orodheshwa la kwanza
Idadi ya wakazi
Sensa ya 1991
2005 makadirio
Liliorodheshwa la 18
2,482,367
4,082,558
GDP (PPP)
 -Jumla
 -Per capita
2007 (makadirio)
$ 6.00 bilioni [1]
$ 1,480 [1]
ISO 3166-2 NG-NI
Mahali pa jimbo la Niger katika Nigeria

Jimbo la Niger ni jimbo lililoko upande wa magharibi mwa nchi ya Nigeria na ndilo jimbo kubwa nchini humo.

Mji mkuu wake ni Minna na miji mikubwa mingine ni Bida, Kontagora na Suleja. Liliundwa mwaka wa 1976 wakati Jimbo la Kaskazini Magharibi liligawanywa na kuunda majimbo ya Sokoto na Niger.

Jina la jimbo hili linatokana na Mto Niger, mbili kati ya stesheni kubwa za kutengezea nguvu za umeme za Nigeria. Bwawa la Kainji na Bwawa la Shiroro ziko katika Jimbo hili. Pia kuna Mbuga ya Kitaifa ya Kainji iliyo kubwa zaidi nchini Nigeria na ina Ziwa Kainji.

Serikali

[hariri | hariri chanzo]

Kama majimbo mengine ya Nigeria, linaongozwa na Gavana na Bunge. Chini ya utawala wa Aliyu Mu'azu Babangida tarehe 13, Januari 2000, jimbo hili lilipitisha sheria ya Sharia kama kanuni ya sheria, ingawa idadi ya wakazi wa jimbo imekuwa kihistoria sawa kati ya Waislamu na Wakristo.

Maeneo ya Utawala

[hariri | hariri chanzo]
Gurara Falls, kando ya mto Gurara kwenye jimbo la Niger Stat.


Jimbo la Niger limegawanywa katika Maeneo 25 ya Serikali za Mitaa.





  1. 1.0 1.1 "C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database)". Canback Dangel. Iliwekwa mnamo 2008-08-20.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Niger kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.