Lava Lava (mwimbaji)
Mandhari
Lava Lava | |
---|---|
Faili:Lava Lava (singer).jpg | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Abdul Juma Idd |
Amezaliwa | Machi 27, 1993 (umri 30 ) |
Kazi yake |
Abdul Juma Idd (maarufu kwa jina lake la kisanii Lava Lava[1]; amezaliwa Machi 27, 1993) ni mwimbaji anayetokea Tanzania aliyesajiliwa chini ya lebo ya muziki WCB Wasafi.[2][3]
Maisha ya Muziki
Safari yake ya muziki ilianzia Tanzania House of Talents; kifupi (THT) ambako alijifunza muziki. Baada ya kumaliza masomo yake aliomba nafasi WCB Wasafi na kubahatika kusajiliwa.[4]
Diskografia
Albamu
- Promise
Nyimbo
- Saula akishirikiana na Harmonize
- Warembo akishirikiana na Susumila
- Niue
- Gundu
- Teja
- Tuachane
- Habibi
- Jibebe akishirikiana na Mbosso na Diamond Platnumz
- Hatuachani
- Tukaze Roho
- Utatulia
- Utanipenda cover
- Go gaga
- Wanga
- Tekenya
- Corona
- Bachela
- Single
- Nimekuchagua
- Dede
- Tattoo
- Balaa
- Ya Ramadhan
- Kizungu zungu
- Dondosa
Marejeo
- ↑ "Sonko gives Wasafi singer Lava Lava extensive tour of his massive shoe closetInterview". K24tv (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-12-09.
- ↑ "WCB's Lava Lava hits new YouTube Milestone & he is over the Moon closetInterview". Pulselive (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-07.
- ↑ "Singer Lava Lava clears the air on exiting Wasafi records". The Standard Media (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-30.
- ↑ "Diamond's Wasafi Signee, Lava Lava Faints On Stage After Getting A Kiss From A Fan (Video)". Kahawa Tungu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-07-30.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lava Lava (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |