8 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1495 - Mtakatifu Yohane wa Mungu, mtawa nchini Hispania
- 1879 - Otto Hahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944)
- 1886 - Edward Kendall (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 1929 - Hebe Camargo, mwimbaji wa Brazil
Waliofariki
- 1144 - Papa Celestino II
- 1550 - Mtakatifu Yohane wa Mungu, mtawa nchini Hispania
- 1869 - Hector Berlioz, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 1874 - Millard Fillmore, Rais wa Marekani (1850-1853)
- 1930 - William Howard Taft, Rais wa Marekani (1909-13)
- 1995 - Paul Horgan, mwandishi kutoka Marekani