25 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Machi ni siku ya 84 ya mwaka (ya 85 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 281.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1715 - Mtakatifu Maria Fransiska wa Madonda Matano, bikira Mfransisko kutoka Italia
- 1748 - Mtakatifu Benedikto Yosefu Labre
- 1832 - Ivan Shishkin, mchoraji wa Urusi
- 1881 - Bela Bartok, mtunzi wa muziki kutoka Hungaria
- 1942 - Aretha Franklin, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 1947 - Elton John, mwanamuziki kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1586 - Mtakatifu Margaret Clitherow, mfiadini kutoka Uingereza
- 1914 - Frederic Mistral, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1904
- 1980 - James Wright, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Bikira Maria Kupashwa habari, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Dismas, Dula, Kwirino wa Roma, Matrona wa Thesalonike, Monasi, Ermelandi, Nikodemo wa Cirò, Prokopi wa Sazava, Margaret Clitherow, Lusia Filippini n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 3 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |