14 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wanahisabati kadhaa duniani husheherekea sikukuu ya Π (tamka: pi) kutokana na namna ya Kiamerika ya kuandika tarehe hii 3-14 ambayo ni chanzo cha namba Π.
Matukio
- 1800 - Uchaguzi wa Papa Pius VII
Waliozaliwa
- 1854 - Paul Ehrlich (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908)
- 1879 - Albert Einstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921)
- 1905 - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1989 - Colby O'Donis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1990 - Zakaria Kibona, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
Waliofariki
- 1995 - William Fowler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)