Nenda kwa yaliyomo

Oktoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:06, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q124 (translate me))
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Sep - Oktoba - Nov
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Mwezi wa Oktoba ni mwezi wa kumi katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na neno la Kilatini octo, maana yake ni "nane", kwa vile katika kalenda ya kale ya Warumi, mwezi huo ulikuwa wa nane. Mwaka wa 153 KK lakini, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina lake Oktoba ilipotea.

Oktoba ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Januari ila katika miaka mirefu yenye siku 366.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: