4 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Oktoba ni siku ya 277 ya mwaka (ya 278 katika miaka mirefu). Zinabaki siku 88 mpaka mwaka uishe.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1542 - Mtakatifu Roberto Bellarmino, askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1822 - Rutherford B. Hayes, Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1839 - Mtakatifu Fransisko Fogolla, O.F.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 1916 - Vitali Ginzburg, mwanafizikia kutoka Urusi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
- 1917 - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile
- 1918 - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 1938 - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1941 - Anne Rice, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1961 - Salim Abdalla Khalfan, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1962 - Ruth Blasio Msafiri, mwanasiasa wa Tanzania
- 1984 - Kelvin Yondan, mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1305 - Kameyama, mfalme mkuu wa Japani (1259-1274)
- 1582 - Mtakatifu Teresa wa Yesu, bikira mwanzilishi wa Wakarmeli Peku na mwalimu wa Kanisa kutoka Hispania
- 1669 - Rembrandt, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1947 - Max Planck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918
- 1974 - Anne Sexton, mshairi kutoka Marekani
- 2000 - Michael Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1993
- 2014 - William Shija, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 2015 - Christopher Mtikila, mwanasiasa kutoka Tanzania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko wa Asizi, Petroni wa Bologna, Kwintini wa Tours, Aurea wa Paris n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day Archived 13 Machi 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |