11 Januari
Mandhari
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 11 Januari ni siku ya kumi na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 354 (355 katika miaka mirefu).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 347 - Theodosius Mkuu, Kaisari wa Dola la Roma (hadi 395)
- 1810 - Johann Ludwig Krapf, Mjerumani mmisionari wa CMS nchini Ethiopia na huko Mombasa; mtunzi wa kamusi na sarufi ya kwanza ya Kiswahili
- 1859 - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1897 – Bernard DeVoto, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 1903 – Alan Paton, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1924 - Roger Guillemin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1977
- 1987 - Jamie Vardy, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 705 - Papa Yohane VI
- 844 - Papa Gregori IV
- 1729 - Mtakatifu Thomas wa Cori, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1988 - Isidor Rabi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1944
- 1991 - Carl David Anderson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
- 2008 - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand na mtu wa kwanza kufika kileleni Mount Everest
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Ijino, Salvius mfiadini, Tipasi, Petro Apselamo, Leucho wa Brindisi, Onorata wa Pavia, Teodosi abati, Paulino wa Akwileia, Thoma wa Cori n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 11 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |