Nenda kwa yaliyomo

Agnes Ntube Ndode

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agnès Ntube Ndode ni mwanamke mfanyabiashara na mwanasiasa kutoka Kameruni ambaye amekuwa seneta tangu mwaka 2013. Alichaguliwa kuwa raisi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Kameruni (GFAC)[1] mwaka 2015.

Ndode ni seneta kutoka Mkoa wa Kusini Magharibi wa Kameruni. Anahusishwa na RDPC na alichaguliwa tena kama seneta kwa mara ya tatu mnamo Machi 2023.[1][2]

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Ndode ameolewa na Bwana Ndjock.

  1. Actuel, Cameroun (2023-04-03). "Sénateurs et opérateurs économiques : qui sont-ils ?". Camerounactuel (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
  2. "Sud-Ouest : on a pris les mêmes". www.cameroon-tribune.cm (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnes Ntube Ndode kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.