Beautiful Eyes
Mandhari
Beautiful Eyes | |||||
---|---|---|---|---|---|
EP ya Taylor Swift | |||||
Imetolewa | 15 Julai 2008 | ||||
Aina | Country pop | ||||
Lebo | Big Machine | ||||
Wendo wa albamu za Taylor Swift | |||||
|
Beautiful Eyes ni albamu ya EP iliyotolewa na msanii wa muziki wa country-pop Bi. Taylor Swift. Albamu ilitolewa mnamo tar. 15 Julai 2008.[1] [2] Na kwa tar. 27 Desemba 2008, kopo 232,792 ziliuza nchini Marekani.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]CD
[hariri | hariri chanzo]- "Beautiful Eyes" (Taylor Swift) (2:54)
- "Should've Said No" (Alternate Version) (Taylor Swift) (3:46)
- "Teardrops on My Guitar" (Acoustic Version) (Taylor Swift, Liz Rose) (3:24)
- "Picture to Burn" (Radio Edit) (Taylor Swift, Liz Rose) (2:53)
- "I'm Only Me When I'm with You" (Taylor Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo) (3:35)
- "I Heart Question Mark" (Taylor Swift) (3:27)
DVD
[hariri | hariri chanzo]- "Beautiful Eyes" music video (2:56)
- "Picture to Burn" music video (3:30)
- "I'm Only Me When I'm with You" music video (3:37)
- "Tim McGraw" muzikiwa video (4:00)
- "Teardrops on My Guitar" (Pop Version) music video (3:45)
- "Our Song" muzikiwa video (3:30)
- The making of "Picture to Burn" muzikiwa video (22:02)
- Great American Country New Artist Interview (14:45)
- "Should've Said No" 2008 (4:01)
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (2008) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Top Country Albums[1] | 1 |
U.S. Billboard 200 [2] | 9 |
References
[hariri | hariri chanzo]- ↑ CD: Beautiful Eyes (Wal-Mart Exclusive)
- ↑ "Wal-Mart "Eyes" New Taylor Swift Project". Great American Country. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-16. Iliwekwa mnamo 2008-07-24.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Beautiful Eyes kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |