Nenda kwa yaliyomo

Bruna Vilamala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bruna akiwa Barcelona mnamo 2021

Bruna Vilamala Costa (alizaliwa 4 Juni 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), akitokea FC Barcelona kwa mkopo.[1]

  1. "Carmen Menayo Liga F". Carmen Menayo (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruna Vilamala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.