Eneo bunge la Malava
Mandhari
Eneo bunge la Malava ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kakamega, Magharibi mwa nchi.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Joshua Mulanda Angatia | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1990 | MN. S. Anaswa | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja. |
1992 | Joshua Mulanda Angatia | KANU | |
1997 | Soita Shitanda | Ford-K | |
2002 | Soita Shitanda | NARC | |
2007 | Soita Shitanda | New Ford Kenya |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Chemuche | 5,324 | Malava (Mji) |
Butali | 3,966 | Malava (Mji) |
Chegulo | 5,280 | Kakamega county |
Mahira | 4,711 | Malava (Mji) |
Mugai | 4,256 | Malava (Mji) |
Shivanga | 8,124 | Kakamega county |
South Kabras Rural | 13,078 | Kakamega county |
West Kabras / Shirugu | 10,580 | Kakamega county |
Jumla | 55,319 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Malava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |