Giovanni Corrieri
Mandhari
Giovanni Corrieri (Alizaliwa 7 Februari 1920 – 22 Januari 2017) alikuwa mwendesha baiskeli wa kitaalamu kutoka Sicilia. Corrieri alishinda hatua 7 katika Giro d'Italia kati ya mwaka 1947 na 1955.
Corrieri alifariki tarehe 22 Januari 2017 akiwa na umri wa miaka 96 huko Prato, Tuscany.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Corrieri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |