Go-Saga wa Japani
Mandhari
Go-Saga (1 Aprili, 1220 – 17 Machi, 1272) alikuwa mfalme mkuu wa 88 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kunihito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Tsuchimikado. Mwaka wa 1242 alimfuata binamu yake Tenno Shijo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1246. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Go-Fukakusa.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Saga wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |