Guadeloupe
Guadeloupe | |||
| |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Basse-Terre | ||
Eneo | |||
- Jumla | 1,628 km² | ||
Idadi ya wakazi (2016) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 394,110 | ||
Tovuti: http://www.cr-guadeloupe.fr/ |
Guadeloupe ni eneo la ng'ambo na mkoa (departement) wa Ufaransa katika Bahari ya Karibi lenye visiwa tisa vidogo. Hivyo ni sehemu ya Umoja wa Ulaya.
Makao makuu ni Basse-Terre, ingawa mji mkubwa ni Pointe-à-Pitre.
Wakazi asilia walikuwa Waindio. Utamaduni wao uliharibiwa kabisa kwa kuja kwa ukoloni kutoka Ulaya (1493).
Ilikuwa koloni la Ufaransa halafu la Uingereza halafu la Uswidi halafu la Ufaransa tena.
Eneo lake ni km² 1,628.
Watu
[hariri | hariri chanzo]Idadi ya wakazi ni 394,110. Asilimia 71 za wakazi ni wa asili ya Afrika au machotara. Wazee wao waliletwa huko kama watumwa kwa ajili ya kazi za mashamba ya miwa. 15% ni Wahindi, 9% Wazungu, 3% Wachina na 2% Waarabu.
Lugha rasmi ni Kifaransa, lakini wengi wanaongea pia Krioli.
Upande wa dini, 80% ni Wakatoliki na 5% Waprotestanti.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Martinique, eneo lingine la Ufaransa katika Bahari ya Karibi
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]The Wikibook Geography of France has a page on the topic of |
Angalia mengine kuhusu Guadeloupe kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Guadeloupe katika Open Directory Project
- Wikimedia Atlas of Guadeloupe
Serikali
[hariri | hariri chanzo]- Guadeloupe : the island where nature rules Archived 27 Machi 2013 at the Wayback Machine.- Official French website (in English)
- Préfecture de la région Guadeloupe—Official site of the prefecture of Guadeloupe (in French)
- Région Guadeloupe—Official site of the Regional Council of Guadeloupe
Safari
[hariri | hariri chanzo]- Les Îles de Guadeloupe—Official site of the Guadeloupe Islands Tourism Board
- Travel Pages – Guadeloupe Archived 7 Januari 2010 at the Wayback Machine.
- Office du Tourisme de Marie-Galante Archived 6 Februari 2007 at the Wayback Machine.—Official site of the Tourist Board of Marie-Galante
- Office du Tourisme du Moule Archived 5 Februari 2007 at the Wayback Machine.—Official site of the Tourist Board of Le Moule
- Guadeloupe Islands Archived 20 Januari 2021 at the Wayback Machine. Bouillante Archived 6 Agosti 2018 at the Wayback Machine.—site of the Guadeloupe Islands Tourism Board
- Guadeloupe Map—Guadeloupe Map
- Bouillante—site of Bouillante Tourism Board
- Guadeloupe Islands Archived 14 Februari 2015 at the Wayback Machine.—Guadeloupe Islands Tourism Board
- Guadeloupe Archived 18 Aprili 2012 at the Wayback Machine.—Guadeloupe Islands Tourism Board
- Guadeloupe West Islands Archived 16 Februari 2009 at the Wayback Machine.—Guadeloupe West Islands
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guadeloupe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |