Hugo the Hippo (filamu)
Mandhari
Hugo the Hippo ni filamu ya uhuishaji iliyotengenezwa mwaka wa 1975 na Pannónia Filmstúdió ya Hungaria na kushirikiana na Marekani na Brut Productions, tawi la kampuni ya manukato ya Kifaransa Faberge[1]. Ilizinduliwa nchini Hungaria mwaka wa 1975 na nchini Marekani mwaka wa 1976 na 20th Century-Fox (kama filamu yake ya kwanza ya uhuishaji kusambazwa).[2] Filamu iliyoongozwa na William Feigenbaum na József Gémes (aliyeongoza uhuishaji).[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hugo the Hippo (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |