Iganga
Iganga | |
Mahali pa mji wa Iganga katika Uganda |
|
Majiranukta: 0°37′0″N 33°29′0″E / 0.61667°N 33.48333°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Mashariki |
Wilaya | Iganga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 48,200 |
Iganga ni mji mkuu wa Wilaya ya Iganga nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 48,200.
Sehemu
[hariri | hariri chanzo]Iganga ipo eneo la ukanda mdogo wa Busoga.Upo takriban kilomita 40, kwa barabara ,kaskazini-mashariki mwa mji wa Jinja na majira-nukta ya eneo hilo ni: 0°36'54.0"N, 33°29'06.0"E (Latitudi:0.6150; Longitudi:33.4850).[1]
Maelezo
[hariri | hariri chanzo]Vivutio vya mji huo ni pamoja na miradi ya 'DevelopNet', ambao ni sehemu ya kupatia mtandao na kutoa msaada kwa jamii kwa kuandaa majukwaa tafauti tafauti kupitia taasisi zisizo za kiserikali.Ni sehemu ambayo taasisi zisizo za kiserikali zimejikita zaidi ili kusaidia kwenye maswala ya elimu na maendeleo ya jamii kwa ujumla.Mji wa Igunga ina ofisi za kutoa mitandao kadhaa , nyumba za wageni na soko lililotazamana na eneo la kuegesha teksi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iganga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ https://www.google.com/maps/dir/Jinja/Iganga/@0.5252874,33.1958066,11z/data=!3m1!4b1!4m14!4m13!1m5!1m1!1s0x177e7b862c391f47:0x300fe90f956a9f4a!2m2!1d33.2026122!2d0.4478566!1m5!1m1!1s0x177ef28a75729ee9:0x2a5b0f015719e99d!2m2!1d33.4719832!2d0.6045833!3e0 | title=Distance Between Jinja, Uganda And Iganga, Uganda