Nenda kwa yaliyomo

Jakob Blasel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jakob Blasel

Jakob Blasel (alizaliwa mwaka 2000) ni Mjerumani, mwanaharakati wa hali ya hewa [1] na mwanasiasa wa Chama cha Kijani cha Ujerumani.

Jakob Blasel alikulia Kronshagen karibu na Kiel. Ana kaka wawili na alilelewa katika dhehebu la katoliki. [2] Alisoma shule ya upili huko Kronshagen, ambapo alikuwa naibu mwakilishi wa wanafunzi katika mwaka wa shule wa 2017/18, [3] na kuhitimu kutoka shule ya upili mwaka 2019. Amekuwa akisoma sheria tangu kipind cha majira ya baridi 2020/21.[4] [5]

  1. Watts, Jonathan. "'The beginning of great change': Greta Thunberg hails school climate strikes", The Guardian, February 15, 2019. (en-GB) 
  2. Klesse, Anne. "Ein Klimaaktivist auf dem Marsch in die Institutionen". Welt am Sonntag, Regional, Hamburg, September 13, 2020 (kwa Kijerumani). Aufgewachsen ist er als ältester von drei Brüdern in Kronshagen bei Kiel. Seine Eltern erzogen ihre Söhne katholisch.
  3. "Unsere SV im Schuljahr 2017/2018: Startseite". gymnasium-kronshagen.de (kwa Kijerumani). Septemba 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-25. Iliwekwa mnamo Machi 25, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Erste Fridays wollen in den Bundestag: Vom Marsch auf der Straße zum Marsch durch die Institutionen". Tagesspiegel.de (kwa Kijerumani). Septemba 25, 2020. Iliwekwa mnamo Machi 25, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Jakob Blasel: „Hass und Hetze bedrohen unsere Demokratie"". abi.de (kwa Kijerumani). Aprili 3, 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 20, 2020. Iliwekwa mnamo Machi 25, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jakob Blasel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.