Kapan
Mandhari
Kapan (Kiarmenia Կապան) jina la zamani Ghapan, Ghap’an, Kafin, Kafan, Katan, Qafan, Zangezur, na Madan) ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Miji upo kilomita 316 kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan, na takriban kilomita 1 kutoka mjini Kashatagh.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Kiesling, Rediscoving Armenia, p. 100-102, available online at the US embassy to Armenia's website Ilihifadhiwa 26 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kapan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |