Karne ya 10 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
Milenia ya 1 |
►
◄ |
Karne ya 12 KK |
Karne ya 11 KK |
Karne ya 10 KK |
Karne ya 9 KK |
Karne ya 8 KK |
►
Karne ya 10 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1000 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 901 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 967 KK: Huko Yerusalemu Solomoni anakuwa mfalme wa Israeli badala ya baba yake, Daudi.
- 965 KK: Kifo cha mfalme Daudi mjini Yerusalemu
- 925 KK: Kifo cha mfalme Solomoni mjini Yerusalemu; Rehoboamu anaanza kutawala
- 909 KK: Kifo cha mfalme Yeroboamu I aliyeongoza uasi wa makabila ya kaskazini ya Israeli dhidi ya Rehoboamu
- 900 KK hivi: Ufalme wa Kush (Sudan ya leo)
- Walatini wanahamia Italia; uanzishaji wa Roma.
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 10 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |