Kiahan
Mandhari
Kiahan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waahan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiahan imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiahan iko katika kundi la Kidefoidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiahan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiahan Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiahan katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ahn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiahan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |