Kigula-Iro
Mandhari
Kigula-Iro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wagula. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigula-Iro imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigula-Iro iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiiro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiro Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiiro katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/glj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigula-Iro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |