Kikabaras
Mandhari
Kikabaras (au Lukabaras) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Waluyia. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikabaras imehesabiwa kuwa watu 253,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabaras iko katika kundi la E30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikabaras kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikabaras Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikabaras katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lkb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikabaras kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |