Nenda kwa yaliyomo

Kioneshatariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kioneshatariki cha nyumbani.

Katika utarakilishi, kioneshatariki (kwa Kiingereza: router device) ni kifaa cha mtandao kinachotumika ili kutuma vifurushi data kati ya tarakilishi mbalimbali. Kwa mfano, kurasa za mtandao na barua pepe zinatumwa kwa ajili ya vifurushi data.[1][2]

  1. "Overview Of Key Routing Protocol Concepts: Architectures, Protocol Types, Algorithms and Metrics". Tcpipguide.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Desemba 2010. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Cisco Networking Academy's Introduction to Routing Dynamically". Cisco. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 27, 2015. Iliwekwa mnamo Agosti 1, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.