Kirukanjia Meno-meupe
Kirukanjia meno-meupe | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kirukanjia mkubwa (Crocidura russula)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 9:
|
Virukanjia meno-meupe au virukanjia-zabadi ni wanyama wadogo wa nusufamilia Crocidurinae katika familia Soricidae wanaofanana na vipanya, lakini virukanjia si wagugunaji (oda Rodentia). Spishi hizi zinatokea Afrika, Asia na Ulaya ya kusini. Nusufamilia hii ina spishi ndogo kuliko virukanjia wote (kirukanjia wa Etruski aliye na 3.5 sm) na ile kubwa kuliko wote (Kirukanjia-kaya wa Asia aliye na sm 15). Spishi za Crocidurinae zina meno meupe, kinyume na zile za Soricinae ambazo zina meno mekundu, na zina harufu ya zabadi pia. Zina miiba mgongoni inayoonekana zikiogopa au zikikasirika. Rangi yao ni nyeusi, kijivu au kahawia. Hula wadudu, konokono na nyungunyungu hasa lakini mbegu na makokwa pia.
Kama ni lazima watoto wahamishwe, mama na watoto huunda mnyororo au msafara, kila mnyama akishikilia yule mbele yake. Mwenendo huu umeonwa pia miongoni mwa spishi kadhaa za jenasi Sorex. Virukanjia meno-meupe wana akili kama ile ya mbwa. Wameonwa wakishirikiana katika kundi.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Crocidura aleksandrisi, Kirukanjia wa Libya (Cyrenaica Shrew)
- Crocidura allex, Kirukanjia-milima Mashariki (East African Highland Shrew)
- Crocidura ansellorum, Kirukanjia wa Ansell (Ansell's Shrew)
- Crocidura attila, Kirukanjia Attila (Hun Shrew)
- Crocidura baileyi, Kirukanjia wa Bailey (Bailey's Shrew)
- Crocidura batesi, Kirukanjia wa Bates (Bates's Shrew)
- Crocidura bottegi, Kirukanjia wa Bottego (Bottego's Shrew)
- Crocidura bottegoides, Kirukanjia wa Bale (Bale Shrew)
- Crocidura buettikoferi, Kirukanjia wa Büttikofer (Buettikofer's Shrew)
- Crocidura caliginea, Kirukanjia Mweusi wa Afrika (African Dusky Shrew)
- Crocidura canariensis, Kirukanjia wa Kanari (Canarian Shrew)
- Crocidura cinderella, Kirukanjia wa Cinderella (Cinderella Shrew)
- Crocidura congobelgica, Kirukanjia wa Kongo (Congo White-toothed Shrew)
- Crocidura crenata, Kirukanjia Miguu-mirefu (Long-footed Shrew)
- Crocidura crossei, Kirukanjia wa Crosse (Crosse's Shrew)
- Crocidura cyanea, Kirukanjia Kijivuchekundu (Reddish-gray Musk Shrew)
- Crocidura denti, Kirukanjia wa Dent (Dent's Shrew)
- Crocidura desperata, Kirukanjia Asiye na Matumaini??? (Desperate Shrew)
- Crocidura dolichura, Kirukanjia Mkia-mrefu (Long-tailed Musk Shrew)
- Crocidura douceti, Kirukanjia wa Doucet (Doucet's Musk Shrew)
- Crocidura eisentrauti, Kirukanjia wa Eisentraut (Eisentraut's Shrew)
- Crocidura elgonius, Kirukanjia wa Elgon (Elgon Shrew)
- Crocidura erica, Kirukanjia wa Angola (Heather Shrew)
- Crocidura fischeri, Kirukanjia wa Fischer (Fischer's Shrew)
- Crocidura flavescens, Kirukanjia Mwekundu Mkubwa (Greater Red Musk Shrew)
- Crocidura floweri, Kirukanjia wa Flower (Flower's Shrew)
- Crocidura foxi, Kirukanjia wa Fox (Fox's Shrew)
- Crocidura fulvastra, Kirukanjia-savana (Savanna Shrew)
- Crocidura fumosa, Kirukanjia ??? (Smoky White-toothed Shrew)
- Crocidura fuscomurina, Kirukanjia Rangi-mbili (Bicolored Musk Shrew)
- Crocidura glassi, Kirukanjia wa Glass (Glass's Shrew)
- Crocidura goliath, Kirukanjia Njemba (Goliath Shrew)
- Crocidura gracilipes, Kirukanjia wa Peters (Peters's Musk Shrew)
- Crocidura grandiceps, Kirukanjia Kichwa-kikubwa (Large-headed Shrew)
- Crocidura grassei, Kirukanjia wa Grasse (Grasse's Shrew)
- Crocidura greenwoodi, Kirukanjia wa Greenwood (Greenwood's Shrew)
- Crocidura harenna, Kirukanjia wa Harenna (Harenna Shrew)
- Crocidura hildegardeae, Kirukanjia wa Hildegarde (Hildegarde's Shrew)
- Crocidura hirta, Kirukanjia Mwekundu Mdogo (Lesser Red Musk Shrew)
- Crocidura ichnusae, Kirukanjia Mkia-mnene (North African White-toothed Shrew)
- Crocidura jacksoni, Kirukanjia wa Jackson (Jackson's Shrew)
- Crocidura kivuana, Kirukanjia wa Kivu (Kivu Shrew)
- Crocidura lamottei, Kirukanjia wa Lamotte (Lamotte's Shrew)
- Crocidura lanosa, Kirukanjia Manyoya-marefu (Kivu Long-haired Shrew)
- Crocidura latona, Kirtukanjia wa Latona (Latona's Shrew)
- Crocidura littoralis, Kirukanjia Mkia-uchi wa Butiaba Butiaba Naked-tailed Shrew)
- Crocidura longipes, Kirukanjia-kinamasi wa Nijeria (Savanna Swamp Shrew)
- Crocidura lucina, Kirukanjia wa Lucina (Lucina's Shrew)
- Crocidura ludia, Kirukanjia wa Ludia (Ludia's Shrew)
- Crocidura luna, Kirukanjia Mwezi??? (Moonshine Shrew)
- Crocidura lusitania, Kirukanjia wa Mauritania (Mauritanian Shrew)
- Crocidura macarthuri, Kirukanjia wa MacArthur (MacArthur's Shrew)
- Crocidura macmillani, Kirukanjia wa MacMillan (MacMillan's Shrew)
- Crocidura macowi, Kirukanjia wa Nyiro (Nyiro Shrew)
- Crocidura manengubae, Kirukanjia wa Manenguba (Manenguba Shrew)
- Crocidura maquassiensis, Kirukanjia wa Makwasi (Makwassie Musk Shrew)
- Crocidura mariquensis, Kirukanjia-kinamasi (Swamp Musk Shrew)
- Crocidura maurisca, Kirukanjia Mkia-uchi Mwembamba (Gracile Naked-tailed Shrew)
- Crocidura monax, Kirukanjia wa Kilima Njaro (Kilimanjaro Shrew)
- Crocidura montis, Kirukanjia-milima (Montane White-toothed Shrew)
- Crocidura muricauda, Kirukanjia Mkia-mrefu Magharibi West African Long-tailed Shrew)
- Crocidura mutesae, Kirukanjia wa Uganda (Ugandan Musk Shrew)
- Crocidura nana, Kirukanjia Mdogo Somali (Somali Dwarf Shrew)
- Crocidura nanilla, Kirukanjia Mdogo wa Savana (Savanna Dwarf Shrew)
- Crocidura nigeriae, Kirukanjia wa Nijeria (Nigerian Shrew)
- Crocidura nigricans, Kirukanjia Kijivucheusi (Blackish White-toothed Shrew)
- Crocidura nigrofusca, Kirukanjia Mweusi (African Black Shrew)
- Crocidura nimbae, Kirukanjia wa Nimba (Nimba Shrew)
- Crocidura niobe, Kirukanjia wa Niobe (Niobe's Shrew)
- Crocidura obscurior, Kirukanjia Mdogo Magharibi (West African Pygmy Shrew)
- Crocidura olivieri, Kirukanjia Njemba (African Giant Shrew)
- Crocidura parvipes, Kirukanjia Miguu-midogo (Small-footed Shrew)
- Crocidura pasha, Kirukanjia Mdogo wa Saheli (Sahelian Tiny Shrew)
- Crocidura phaeura, Kirukanjia wa Guramba (Guramba Shrew)
- Crocidura picea, Kirukanjia wa Kameruni (Cameroonian Shrew)
- Crocidura pitmani, Kirukanjia wa Pitman (Pitman's Shrew)
- Crocidura planiceps, Kirukanjia Kichwa-bapa (Flat-headed Shrew)
- Crocidura poensis, Kirukanjia wa Fraser (Fraser's Musk Shrew)
- Crocidura polia, Kirukanjia wa Polia (Polia's Shrew)
- Crocidura raineyi, Kirukanjia wa Rainey (Rainey's Shrew)
- Crocidura religiosa, Kirukanjia Mdogo wa Misri (Egyptian Pygmy Shrew)
- Crocidura roosevelti, Kirukanjia wa Roosevelt (Roosevelt's Shrew)
- Crocidura russula, Kirukanjia Mkubwa (Greater White-toothed Shrew)
- Crocidura selina, Kirukanjia wa Uganda??? (Ugandan Lowland Shrew)
- Crocidura silacea, Kirukanjia Kahawiakijivu (Lesser Gray-brown Musk Shrew)
- Crocidura smithii, Kirukanjia-jangwa (Desert Musk Shrew)
- Crocidura somalica, Kirukanjia Somali (Somali Shrew)
- Crocidura stenocephala, Kirukanjia-kinamasi wa Kahuzi (Kahuzi Swamp Shrew)
- Crocidura suaveolens, Kirukanjia Mdogo (Lesser White-toothed Shrew)
- Crocidura tansaniana, Kirukanjia wa Tanzania (Tanzanian Shrew)
- Crocidura tarella, Kirukanjia wa Tarella (Tarella Shrew)
- Crocidura tarfayensis, Kirukanjia wa Sahara (Saharan Shrew)
- Crocidura telfordi, Kirukanjia wa Telford (Telford's Shrew)
- Crocidura thalia, Kirukanjia wa Thalia (Thalia's Shrew)
- Crocidura theresae, Kirukanjia wa Theresa (Therese's Shrew)
- Crocidura thomensis, Kirukanjia wa Sao Tome (São Tomé Shrew)
- Crocidura turba, Kirukanjia Mfanya-kelele (Turbo Shrew)
- Crocidura ultima, Kirukanjia ??? (Ultimate Shrew)
- Crocidura usambarae, Kirukanjia wa Usambara (Usambara Shrew)
- Crocidura viaria, Kirukanjia Ujia-savana (Savanna Path Shrew)
- Crocidura virgata, Kirukanjia wa Mamfe (Mamfe Shrew)
- Crocidura voi, Kirukanjia wa Voi (Voi Shrew)
- Crocidura whitakeri, Kirukanjia wa Whitaker (Whitaker's Shrew)
- Crocidura wimmeri, Kirukanjia wa Wimmer (Wimmer's Shrew)
- Crocidura xantippe, Kirukanjia wa Xanthippe (Xanthippe's Shrew)
- Crocidura yankariensis, Kirukanjia wa Yankari (Yankari Shrew)
- Crocidura zaphiri, Kirukanjia wa Zaphir (Zaphir's Shrew)
- Crocidura zimmeri, Kirukanjia wa Upemba (Upemba Shrew)
- Paracrocidura graueri, Kirukanjia Kichwa-kikubwa wa Grauer (Grauer's Large-headed Shrew)
- Paracrocidura maxima, Kirukanjia Kichwa-kikubwa Mkubwa (Greater Large-headed Shrew)
- Paracrocidura schoutedeni, Kirukanjia Kichwa-kikubwa Mdogo (Lesser Large-headed Shrew)
- Ruwenzorisorex suncoides, Kirukanjia wa Ruwenzori (Ruwenzori Shrew)
- Scutisorex somereni, Kirukanjia wa Someren (Armored Shrew)
- Suncus aequatorius, Kirukanjia wa Taita (Taita Shrew)
- Suncus etruscus, Kirukanjia wa Etruski (Etruscan Shrew)
- Suncus infinitesimus, Kirukanjia Kibete (Least Dwarf Shrew)
- Suncus lixus, Kirukanjia ??? (Greater Dwarf Shrew)
- Suncus madagascariensis, Kirukanjia Mdogo wa Madagaska (Madagascan Pygmy Shrew)
- Suncus megalura, Kirukanjia Mpandaji??? (Climbing Shrew)
- Suncus remyi, Kirukanjia Mdogo wa Remy (Remy's Pygmy Shrew)
- Suncus varilla, Kirukanjia ??? (Lesser Dwarf Shrew)
- Sylvisorex cameruniensis, Kirukanjia-misitu wa Kameruni (Cameroonian Forest Shrew)
- Sylvisorex granti, Kirukanjia-misitu wa Grant (Grant's Forest Shrew)
- Sylvisorex howelli, Kirukanjia-misitu wa Howell (Howell's Forest Shrew)
- Sylvisorex isabellae, Kirukanjia-misitu wa Bioko (Bioko Forest Shrew)
- Sylvisorex johnstoni, Kirukanjia-misitu wa Johnston (Johnston's Forest Shrew)
- Sylvisorex konganensis, Kirukanjia-misitu wa Kongana (Kongana Shrew)
- Sylvisorex lunaris, Kirukanjia-misitu Mwezi??? (Moon Forest Shrew)
- Sylvisorex morio, Kirukanjia-misitu wa Mlima Kameruni (Mt. Cameroon Forest Shrew)
- Sylvisorex ollula, Kirukanjia-misitu Mkubwa (Greater Forest Shrew)
- Sylvisorex oriundus, Kirukanjia-misitu Mdogo (Lesser Forest Shrew)
- Sylvisorex pluvialis, Kirukanjia-misitu-mvua (Rain Forest Shrew)
- Sylvisorex vulcanorum, Kirukanjia-misitu Volkeno (Volcano Shrew)
Spishi za Asia na Ulaya
[hariri | hariri chanzo]- Crocidura andamanensis (Andaman Shrew)
- Crocidura annamitensis
- Crocidura arabica (Arabian Shrew)
- Crocidura arispa (Jackass Shrew)
- Crocidura armenica (Armenian Shrew)
- Crocidura attenuata Asian Grey Shrew)
- Crocidura baluensis (Kinabalu Shrew)
- Crocidura batakorum (Batak Shrew)
- Crocidura beatus (Mindanao Shrew)
- Crocidura beccarii (Beccari's Shrew)
- Crocidura brunnea (Thick-tailed Shrew)
- Crocidura caspica (Caspian Shrew)
- Crocidura cranbooki
- Crocidura dhofarensis (Dhofar Shrew)
- Crocidura dsinezumi (Dsinezumi Shrew)
- Crocidura elongata (Elongated Shrew)
- Crocidura foetida (Bornean Shrew)
- Crocidura fuliginosa (Southeast Asian Shrew)
- Crocidura gmelini (Gmelin's White-toothed Shrew)
- Crocidura grandis (Greater Mindanao Shrew)
- Crocidura grayi (Luzon Shrew)
- Crocidura guy
- Crocidura hikmiya
- Crocidura hilliana (Hill's Shrew)
- Crocidura hispida (Andaman Spiny Shrew)
- Crocidura horsfieldii (Horsfield's Shrew)
- Crocidura hutanis (Hutan Shrew)
- Crocidura indochinensis (Indochinese Shrew)
- Crocidura jenkinsi (Jenkins' Shrew)
- Crocidura jouvenetae (Jouvenet's Shrew)
- Crocidura katinka (Katinka's Shrew)
- Crocidura kegoensis (Ke Go Shrew)
- Crocidura lasiura (Ussuri White-toothed Shrew)
- Crocidura lea (Sulawesi Shrew)
- Crocidura lepidura (Sumatran Giant Shrew)
- Crocidura leucodon (Bicolored Shrew)
- Crocidura levicula (Sulawesi Tiny Shrew)
- Crocidura malayana (Malayan Shrew)
- Crocidura maxi (Javanese Shrew)
- Crocidura mindorus (Mindoro Shrew)
- Crocidura miya (Sri Lankan Long-tailed Shrew)
- Crocidura monticola (Sunda Shrew)
- Crocidura musseri (Mossy Forest Shrew)
- Crocidura negligens (Peninsular Shrew)
- Crocidura negrina (Negros Shrew)
- Crocidura nicobarica (Nicobar Shrew)
- Crocidura nigripes (Black-footed Shrew)
- Crocidura orientalis (Oriental Shrew)
- Crocidura orii (Ryukyu Shrew)
- Crocidura palawanensis (Palawan Shrew)
- Crocidura panayensis (Panay Shrew)
- Crocidura paradoxura (Sumatran Long-tailed Shrew)
- Crocidura pergrisea (Pale Grey Shrew)
- Crocidura phanluongi
- Crocidura phuquocensis (Phu Hoc Shrew)
- Crocidura pullata (Kashmir White-toothed Shrew)
- Crocidura ramona (Negev Shrew)
- Crocidura rapax (Chinese White-toothed Shrew)
- Crocidura rhoditis (Sulawesi White-handed Shrew)
- Crocidura serezkyensis (Lesser Rock Shrew)
- Crocidura shantungensis (Asian Lesser White-toothed Shrew)
- Crocidura sibirica (Siberian Shrew)
- Crocidura sicula (Sicilian Shrew)
- Crocidura sokolovi (Sokolov's Shrew)
- Crocidura susiana (Iranian Shrew)
- Crocidura tenuis (Timor Shrew)
- Crocidura trichura (Christmas Island Shrew)
- Crocidura vorax (Voracious Shrew)
- Crocidura vosmaeri (Banka Shrew)
- Crocidura watasei (Lesser Ryukyu Shrew)
- Crocidura wuchihensis (Hainan Island Shrew)
- Crocidura zaitsevi (Mikhail Zaitsev's Shrew)
- Crocidura zarudnyi (Zarudny's Rock Shrew)
- Crocidura zimmermanni (Cretan Shrew)
- Diplomesodon pulchellum (Piebald Shrew)
- Feroculus feroculus (Kelaart's Long-clawed Shrew)
- Solisorex pearsoni (Pearson's Long-clawed Shrew)
- Suncus ater (Black Shrew)
- Suncus dayi (Day's Shrew)
- Suncus fellowesgordoni (Sri Lankan Shrew)
- Suncus hosei (Bornean Pygmy Shrew)
- Suncus malayanus (Malayan Pygmy Shrew)
- Suncus mertensi (Flores Shrew)
- Suncus montanus (Asian Highland Shrew)
- Suncus murinus (Asian House Shrew)
- Suncus stoliczkanus (Anderson's Shrew)
- Suncus zeylanicus (Jungle Shrew)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kirukanjia wa Kanari
-
Kirukanjia wa Dent
-
Kirukanjia mwekundu mdogo (aliyekufa)
-
Kiruknjia njemba
-
Kirukanjia mkia-mnene
-
Kirukanjia mdogo
-
Kirukanjia wa Someren
-
Kirukanjia wa Etruski
-
Kirukanjia-misitu mdogo
-
Bicoloured shrew
-
Sicilian shrew
-
Voracious shrew
-
Asian house shrew