Nenda kwa yaliyomo

Kisomo App

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisomo App ni jukwaa la mtandaoni la elimu kwa watoto na vijana linalotoa mafunzo kwa njia ya video [1] kupitia Internet.

App hii ilibuniwa na vijana wanne wa Tanzania ambao ni George Akilimali, Bifa Pasian, Jecta Joram na Julius Vuli ikamilikiwa na kampuni ya Smartcore iliyo na makao makuu katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisomo App kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.