Kuro (jenasi)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kobus)
Kuro | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Dume la kuro ndogoro
(Kobus e. ellipsiprymnus) | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 6, nususpishi 11:
|
Kuro ni spishi ya kawaida zaidi ya jenasi Kobus katika familia Bovidae. Spishi nyingine za jenasi hii zinaitwa lechwe, mraye na sheshe. Spishi zote zinatokea karibu na maji na hutorokea maji wakitishwa na mnyama mbua. Rangi ya spishi nyingi ni ya mchanga lakini rangi ya kuro na spishi nyingine kadhaa ni kahawia hadi kijivu au nyeusi. Mara nyingi kuna rangi ya nyeupe kuzunguka macho na pua na matako. Wanyama hawa hula nyasi.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Kobus anselli, Lechwe wa Upemba (Upemba Lechwe)
- Kobus ellipsiprymnus, Kuro (Waterbuck)
- Kobus e. defassa, Kuro Singsing au kuro kibaka (Defassa Waterbuck)
- Kobus e. ellipsiprymnus, Kuro Ndogoro au kuro pete (Common Waterbuck)
- Kobus kob, Mraye (Kob)
- Kobus k. kob, Mraye Magharibi (Buffon's kob)
- Kobus k. leucotis, Mraye Masikio-meupe (White-eared kob)
- Kobus k. thomasi, Mraye wa Uganda (Ugandan kob)
- Kobus leche, Lechwe Kusi (Southern lechwe)
- Kobus l. kafuensis, Lechwe wa Kafue (Kafue lechwe)
- Kobus l. leche, Lechwe Mwekundu (Red lechwe)
- Kobus l. robertsi, Lechwe wa Roberts (Roberts' lechwe) - ameisha sasa
- Kobus l. smithemani, Lechwe Mweusi (Black lechwe)
- Kobus megaceros, Lechwe wa Nili (Nile Lechwe)
- Kobus vardonii, Sheshe (Puku)
- Kobus v. senganus, Sheshe wa Senga (Senga puku)
- Kobus v. vardonii, Sheshe Kusi (Southern puku)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Dume la kuro singsing
-
Jike la kuro singsing
-
Jike la kuro ndogoro
-
Mraye magharibi
-
Mraye masikio-meupe
-
Dume la mraye wa Uganda
-
Jike la mraye wa Uganda na ndama wake
-
Madume ya lechwe mwekundu
-
Jike la lechwe mwekundu
-
Jike la leche wa Kafue
-
Kundi la lechwe mweusi
-
Dume la lechwe wa Nili
-
Jike la lechwe wa Nili
-
Dume la sheshe wa Senga
-
Jike la sheshe wa Senga
-
Jike la sheshe kusi
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kuro (jenasi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.