Longyearbyen
Mandhari
Longyearbyen ni makao makuu ya utawala wa Norwei kwenye visiwa vya Svalbard. Mji huu mdogo uko kwenye kisiwa cha Spitsbergen.
Longyearbyen ni kati ya makazi ya kibinadamu ya kaskazini kabisa duniani. Kwa jumla kuna wakazi 1,800 wengi wao Wanorwei na wengine Warusi.
Mji ulianzishwa mnamo 1906 kama makazi ya wafanyakazi wa migodi ya makaa mawe.
Picha za Longyearbyen
[hariri | hariri chanzo]Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- The University Centre on Svalbard
- The University Centre on Svalbard Alumni/Student site Ilihifadhiwa 31 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- Spitsbergen Travel Tour Operator
- Wildlife Service Tour Operator
- The Governor (Sysselmannen)
- Svalbard Airport:Facts and pictures from Avinor Ilihifadhiwa 8 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
- Island railways north of Europe
- Mission Svalbard — Pictures of Longyearbyen and Bjørndalen Ilihifadhiwa 9 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Longyearbyen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |