Nenda kwa yaliyomo

Maaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maaka alikuwa mke wa mfalme Daudi wa Israeli. Alimzalia mwana aliyeitwa Absalomu.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 3, mstari wa 3.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maaka kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.